Tuesday, 19 January 2010

Kaka Lao


Hapa Vicent anaangalia usalama wa dada zake. Vallencia kusho na Karen Kulia

3 comments:

  1. safi sana kuwa na kaka mkubwa maana una wa kukuangalia. Hii picha imenikumbusha mbali sana. Mwe tumetoka mbali kweli:-)

    ReplyDelete
  2. Yasinta, mi nilikuwa katikati ya makaka basi wee u-teenager ulikuwa hauna raha maana uhuru hakuna kabisa!!

    ReplyDelete