Friday 29 January 2010

Waliocheza Chiwawa











Hawa ni wale wale waliopo kwenye movie ya Chiwawa

2 comments:

  1. Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti!3 February 2010 at 03:58:00 GMT-8

    Ni hao tu ama kuna watu na vijimutu?

    bahati mbaya sina umeme na kumendea video za watu sipendi nigedoe niione hiyo chiwawa

    na una moyo: mpaka kuangalia sinema ya hivo ukaimaliza, duh! Miye ningeogopa :-)

    ReplyDelete
  2. Ng'wanambiti, hii ni senema nzuri sana ina watu kiasi lakini vijibwa ndo main characters. Na ukiiangalia utacheka hadi machozi.

    ReplyDelete