Tuesday 20 July 2010

Mwenzenu naumwa jamani

Wapendwa, mwenzenu ulcers zimenichachamaa ile mbaya sijui ni stress za maisha au ni nini? Kuna mtu anajua dawa ya kutibu maana huko mahospitalini wananipa za kutuliza tu aaahaaaah???

4 comments:

  1. MMMhhh! sijui da L. Pole sana ndo maana nimeona u-kimya. Ugoa pole na uje .

    ReplyDelete
  2. Pole sana Dada Lulu kwa kuumwa "ulcer", japo sijui ni ugonjwa gani huo kwa kiswahili. Kama ni vidonda vya tumbo, basi kunywa maziwa zaidi. Jitahidi kutokuwa na stress zisizo za lazima, na zaidi zaidi tia msosi wa nguvu kila wakati. Epuka kula pilipili.

    It's Great To Be Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  3. Nenda misikitini kuna dawa wanaziita `zakisuna' hizo ni kiboko, kwanza unapewa za kusafisha tumbo, swafi kabisa halafu dawa yenyewe, ukimaliza utaanza kula maharage na pilipili...kwani we sasa upo wapi?

    ReplyDelete
  4. Emu three (M3) nipo bongo, sasa huko msikitini nitaingiaje ili hali mi si muislamu?

    ReplyDelete