Hapa ni mambo ya kifamilia zaidi. Nawakaribisha wote kuweza kuchangia juu ya mambo ya kuboresha familia. Tupeane ushauri kuhusu mambo yahusuyo familia na jamii kwa ujumla. “I laugh, I love, I hope, I try, I hurt, I need, I fear, I cry. And I know you do the same things too, So we're really not that different, me and you.”
Thursday, 13 January 2011
ONYO:- KAMA MUOGA USIANGALIE .......! Laparoscopic Cholecystectomy - Michael Bickford, FRACS
http://www.youtube.com/watch?v=fz48sITkdJ0&NR=1
Nina DVD ya procedure yangu lakini kwa sababu za kimaadili nawawekea hii ili pia mpate na elimu kidogo.
Hii ndio procedure (sijui kwa kiswahili ni nini- Hatua, mwenendo?) ambayo nimeipitia, yaani ni sawa kabisa na yangu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nimeangalia huku nimelishikilia tumbo na huku naruka ruka kwa woga. Kweli kuna vifaa ambavyo ni rahisi kufanya kazi. Ila Sijui niseme pole au nisema Nini? nasema namshukuru Mungu!
ReplyDeleteNi Kweli inatisha ila kwa kweli ni nzuri hii procedure, imagine nilifanyiwa Friday, Saturday nilikuwa natembea hospitali, Jumapili nilienda church humo humo hospitali kuna kanisa and i was discharged the same Sunday. Monday nilikuwa town nafanya shopping haaa haaa lol!!! Mungu ni mwema i tell you - Amini Yasinta!!!
ReplyDeleteHaki ya Mungu ni procedure nzuri sana. Ingekuwa hii ya kawaida ungekuwa bado kidonda kinauma.
ReplyDelete