Showing posts with label Chiwawa. Show all posts
Showing posts with label Chiwawa. Show all posts

Friday, 29 January 2010

Umewahi kuona movie inaitwa Chiwawa?












Kuna movie inaitwa Chiwawa basi ukiiangalia utajua hivi vijibwa vinajisikiaje kuvishwa hivi, eti vyafurahia kama binadamu na kuna watu wanapanga budget ya mbwa, kuwapeleka salon, shopping n.k.