Friday, 17 July 2009

Karibuni Kivulini


Nawakaribisha wale wote mnaojisikia mnahitaji kupumzika kwenye kivuli angalau kwa dakika kidogo ili kuweza kuvuta kasi ya kuendelea na mchakamchaka wa maisha.
Hapa ni kivuli kitakachowasaidia kutafakari, kutabasamu, kucheka na kujifunza mambo kidogo ili kuweza kuendeleza libeneke la kusukuma gurudumu la maendeleo.
Karibuni sana kivulini

3 comments: