Huyu binti anaitwa Esther, anasoma Martin Luther - Dodoma yupo grade 7, anasema anatarajia kufanya mtihani wake wa taifa week ya kwanza ya Septemba na kwa sasa hawezi kukaa kivuli kwa kuwa akijaribu kupumzika tu mambo yataharibika. Anawaomba wale wote mnaoweza kupumzika kivulini angalau kidogo mumuombee ili na yeye afanye mitihani yake vizuri na hatimaye apate muda wa kuvuta pumzi ili kujipanga vizuri kwa kuendelea na mchakamchaka wa sekondari.Hapa ni mambo ya kifamilia zaidi. Nawakaribisha wote kuweza kuchangia juu ya mambo ya kuboresha familia. Tupeane ushauri kuhusu mambo yahusuyo familia na jamii kwa ujumla. “I laugh, I love, I hope, I try, I hurt, I need, I fear, I cry. And I know you do the same things too, So we're really not that different, me and you.”
Friday, 17 July 2009
Huyu binti anaitwa Esther, anasoma Martin Luther - Dodoma yupo grade 7, anasema anatarajia kufanya mtihani wake wa taifa week ya kwanza ya Septemba na kwa sasa hawezi kukaa kivuli kwa kuwa akijaribu kupumzika tu mambo yataharibika. Anawaomba wale wote mnaoweza kupumzika kivulini angalau kidogo mumuombee ili na yeye afanye mitihani yake vizuri na hatimaye apate muda wa kuvuta pumzi ili kujipanga vizuri kwa kuendelea na mchakamchaka wa sekondari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
bila shaka kafaulu!
ReplyDeletekila la kheri Esther