Hapa ni mambo ya kifamilia zaidi. Nawakaribisha wote kuweza kuchangia juu ya mambo ya kuboresha familia. Tupeane ushauri kuhusu mambo yahusuyo familia na jamii kwa ujumla.
“I laugh, I love, I hope, I try, I hurt, I need, I fear, I cry. And I know you do the same things too, So we're really not that different, me and you.”
Wednesday, 6 January 2010
Anaitwa Etha Babake ni Silas Mwaka Mamake ni Upendo Msanjila Mwaka Ethan amezaliwa tarehe 21/5/09 ni mtoto active sana wazazi wake wanampenda sana
No comments:
Post a Comment