Hapa anajiandaa kukata keki yake mwenyewe
Alianza kwa kumlisha baba si unajua tena za kisukuma
Halafu akamlisha mama
Na baadaye akalishwa kaka
Hapa ni mambo ya kifamilia zaidi. Nawakaribisha wote kuweza kuchangia juu ya mambo ya kuboresha familia. Tupeane ushauri kuhusu mambo yahusuyo familia na jamii kwa ujumla. “I laugh, I love, I hope, I try, I hurt, I need, I fear, I cry. And I know you do the same things too, So we're really not that different, me and you.”
hiyo keki ilitengenezwa kwa michembe ama matobholwa?....lol
ReplyDeletehakuna ilobaki na siye tuambulie walau kipande?...lol
Heee heee ni keki ya ubuyu hiyo unajua tena ubuyu na watoto, iliisha yote!!!! Mwakani nitamfanyia keki ya boga!!
ReplyDeleteJamani!! Chacha na Lulu mmekutana kwa vijembe...lol
ReplyDeleteHongera Valencia Mungu akuzidishie afya ukue vizuri. Amen.
Da Mija ahsante. Huyu Chacha hajui kuwa kafika hapa kwa maswali na majibu. Atachoka mwenyewe
ReplyDelete