Thursday, 18 February 2010

Birthday ya Valencia


Isingekuwa rahisi, haki na busara kwa hii keki kuisha kabla hajaionja mwenyewe!!!


Sala
Mwenye Mungu baba wa Rehema, namkabidhi binti Valencia mikononi mwako, umtangulie katika maisha yake, umkuze katika njia yenye kukupendeza wewe, na zaidi ukamfunike kwa damu ya mwanao mpendwa Yesu Kristo, Ninafunga nguvu za shetani kwa maisha ya Valencia, magonjwa na masumbufu hayana nafasi kwa mwili wa Valencia, Baba ninasema Ahsante kwa kutujalia mtoto Valencia. Ninaomba na kushukuru kwa Kristo bwana na mkombozi wetu. Amina

3 comments:

  1. Amina! Happy birthday Valencia!!! Uwe na miaka yenye baraka

    Aksante kwa sala nzuri sana Mama Mchungaji ...oh! no!! LULU

    ReplyDelete
  2. Chacha umenipa aidia nzuri sana unajua siku hizi makanisa ni business nzuri sana, hebu niambie naweza kuwa mchungaji na nikakupata wewe ukawa muumini wangu nami nianzishe kanisa langu

    ReplyDelete
  3. sina hakika kama unaweza kuhubiri kiasi cha kunipata mimi padiri mstaafu...lol

    ReplyDelete