Thursday 25 March 2010

Samahanini Sana (sijui nimetohoa kiswahili hapa)


Naomba mnisamehe sana unajua nipo kwenye mitihani kwa sasa unajua tena shule za uzeeni hata kuoga nakosa muda.


Nitarudi next week nikiwa full na mambo mapya


Ngwanambiti na Yasinta nimewamiss sana

4 comments:

  1. Una bahati wewe hivi nilikuwa mbioni kukutangaza kuwa umepotea...lol miss u 2.

    ReplyDelete
  2. Ooh! nilisahau kuna kawimbo nimekumbuka tulikuwa tukiimba enzi zileeeee:- ni hivi Twendeni tukawinde vipepeo aiya mama vipepeo vipepeo.......!

    ReplyDelete
  3. Da Yasinta: Duh nawe kwa nyimbo zako za majimaji...lol

    Lulu: Nami nilikuwa nataka kukutangaza Radio wani ama Club marafiki pale TBC kwa kuwa umepotea ka KAKAKUONA....lol

    Yote Kheri tuko pamoja!

    ReplyDelete
  4. D Lulu vp kubukua kwenyewe au Pole na mitihani

    ReplyDelete