Hapa ni mambo ya kifamilia zaidi. Nawakaribisha wote kuweza kuchangia juu ya mambo ya kuboresha familia. Tupeane ushauri kuhusu mambo yahusuyo familia na jamii kwa ujumla.
“I laugh, I love, I hope, I try, I hurt, I need, I fear, I cry. And I know you do the same things too, So we're really not that different, me and you.”
Thursday, 25 February 2010
Vijimambo
Toka jana nimekuwa busy kwenye net kuna vitu nilikuwa natafuta nikakumbana na hivi vijimambo, very interesting.
wooooooo it is so seductive
ReplyDeleteNtakutafuta nami unifundisheko....lol
ReplyDeletenadhani ntaitumia hata ku-paint TEMBE za singida na Idodomia...lol
Ntakutafuta nami unifundisheko....lol
ReplyDeletenadhani ntaitumia hata ku-paint TEMBE za singida na Idodomia...lol
Chacha nitakujibu..............!!!!! Unanifurahisha na hiyo accent yako ya home
ReplyDelete