Thursday 3 June 2010

Samahani sana Wapendwa wangu

Mimi na mdogo wangu Lillian

Wadada


Three sisters


The whole family


Wandugu wapenzi. Hii ni kuwataka radhi kwani nilitingwa na mitihani hatimaye nikaamua kuchukua likizo na nilisafiri nilikuwa mbali sana na sikutaka kukutana na computer hata kidogo sasa nimerudi na nipo full mzuka.

Napenda pia kuchukua fursa hii kumpongeza mdogo wangu Lillian kwa kumaliza masomo yake na kutunukiwa shahada yake ya kwanza. Hongera Lillian the whole family is proud of you. May God Bless you in your career!!! Amen

6 comments:

  1. Duh! karibu sana. Ilikuwa karibu nitangaze dau la atakayekuona atujulishe ulipo....lol


    Karibu tena mwanakwetu labda tutaambulia keki ya ubuyu lol!

    ReplyDelete
  2. Kwako Lily, Hongera kupata digriii a.k.a NONDOZ! Ungekuwa karibu ngekuzawadia michembe na uji wa ukwaju...lol

    ReplyDelete
  3. ahsante kwa hongera..na itanibidi nikaribie ili nipate hizo zawadi...
    dad yangu tumetoka mchicha..lol

    ReplyDelete
  4. Safi sana. Hongereni sana ila ni vizuri mnapoandika kama ni Kiswahili kiwe Kiswahili tu. Haina maana yoyote kuchanganya Kiingereza na Kiswahili.

    ReplyDelete