The whole familyWandugu wapenzi. Hii ni kuwataka radhi kwani nilitingwa na mitihani hatimaye nikaamua kuchukua likizo na nilisafiri nilikuwa mbali sana na sikutaka kukutana na computer hata kidogo sasa nimerudi na nipo full mzuka.
Napenda pia kuchukua fursa hii kumpongeza mdogo wangu Lillian kwa kumaliza masomo yake na kutunukiwa shahada yake ya kwanza. Hongera Lillian the whole family is proud of you. May God Bless you in your career!!! Amen


