Friday 9 July 2010

Mmsai akidumisha mila ( Upande moja yake upande moja ya Serikali)


Hebu fikiria umekutana na mpiganaji huyu inakuwa vipi?

4 comments:

  1. "Hebu fikiria umekutana na mpiganaji huyu inakuwa vipi?" Mlengwa wa swali hili ni nani? Maana "mpiganaji" mwenyewe kazionyesha silaha zake zote mbili hadharani. Sasa hapa inategemea na mlengwa wa swali, ni silaha ipi anaweza kujihami dhidi yake na kukabiliana vilivyo na huyo "mpiganaji" hadi mpiganaji jasho limtoke likisindikizwa na kelele za kilio juu kama mtoto.

    It's Great To Be Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  2. Blackmannen nawe huna dogo Duh! kaazi kwelikweli. Mimi nadhani nitazimia.

    ReplyDelete
  3. Yeah, Yasinta kwa kweli silaha zote mbili lazima wewe ukimbie ila angekuwa blackmannen angelinganisha kwanza aone ya nani kubwa zaidi (silaha) haa haaa

    ReplyDelete
  4. Kumbukeni MOJA ni organic/natural na nyingine ni artificial(ya kutengenezwa)....lol!

    Sasa hapo inategemeana na unapenda ipi....lol!

    ReplyDelete